MANJI BAADA YA KUACHIWA HURU

Mfanyabiashara Yusuf Manji baada ya kuachiwa huru na Mahakama leo

Makoleko TZA katika millardayo.com - Saa 5 zilizopita
Ijumaa October 6, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kutumia dawa za kulevya baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa hilo. Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo katika Mahakama ya Kisutu na zimefanikiwa kukusogezea video ya Mfanyabiashara huyo baada ya kuachiwa huru. Itazame hapa […]

Maoni

Machapisho Maarufu