KESI YA ELIZABETH MICHAEL (LULU)

KESI YA ELIZABETH MICHAEL(LULU)
"Tulifungua ubongo wa Kanumba na kuukuta umevimba, mishipa midogomidogo ya ubongo ilikuwa imeingia damu, lakini kabla ya kufungua ubongo, kwenye kisogo kulikuwa na mgando wa damu. Baada ya kumaliza uchunguzi wetu tulipeleka sampuli kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ambapo tulipeleka pia sampuli mbalimbali za viungo vya mwili wake" -   Dkt. Innosent Mosha (Shahidi)

Maoni

Machapisho Maarufu