Ruka hadi kwenye maudhui makuu
DALILI ZA KUHARIBIKA KWA MIMBA
- ZIFUATAZO NI DALILI ZA KUHARIBIKA KWA MIMBA KIPINDI CHA UJAUZITO CHINI YA MIEZI MITATU
- Matatizo ya maumbile ya mfuko wa kizazi (Abnormal shape of the uterus)
- Trauma - Madhara ya kimwili ambayo yanaweza kusababisha kuharibika kwa mimba mapema ni pamoja na kufanya kazi kwa muda mrefu kupitiliza, kufanya kazi ngumu, kupigwa kwa mjamzito kwenye tumbo.
- Kukosekana kwa utulivu wa kiakili pia ni mojawapo wa chanzo cha kuharibika kwa mimba kwa mfano, kupatwa na hofu, uoga, huzuni, msongo wa mawazo nk.
- Sumu kwenye chakula (Food poisoning) kama Listeriosis, Toxoplasmosis , Salmonella
Maoni
Chapisha Maoni