SENEGAL NA MAFANIKIO KISOKA
SENEGAL 🇸🇳 BINGWA AFRIKA
Timu ya Vijana chini miaka 17 ya Senegal 🇸🇳 imeibuka mabingwa wa michuano ya AFCON chini ya Miaka 17 wakiwafunga Morocco 🇲🇦 2-1 Usiku wa kuamkia leo.
SENEGAL KWENYE KILELE CHA MAFANIKIO.
✔️AFCON Wakubwa
✔️CHAN
✔️AFCON Under 20
✔️AFCON Under 17
✔️Beach Soccer
#vivasenegal
Maoni
Chapisha Maoni